Ujumbe wa Leo;
Warumi : 10 : 9-10
9. Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
10. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
YARUDIE KUYASOMA NA PATA NAFASI KUYATAFAKARI UTAELEWA TU.

116 Views