Início
Eventos
Blogs
Loja
Grupos
Páginas
Mais Opções
Carregando
Wokovu sio lelemama acha kusumbua watu!! Ukiamua kuwa mchafu, acha wokovu toka na endelea kuwa mchafu, ila ukiamua kuwa mtakatifu basi endelea kujitakasa.

Faça Login para curtir, compartilhar e comentar!
JEHOVAH ni mtakatifu pia hapendi dhambi hivyo nasi kama watoto wake tunapaswa kuishi maisha ya utakatifu . Neno linasema tunayaweza yote katika yeye atutiae nguvu